Home
Unlabelled
Hii ndiyo hali halisi ya tukio zima la mvua kubwa ya mawe iliyonyesha katika kijiji cha Mwakata wilayani Kahama Mkoani Shinyanga ambapo mvua hiyo iliambatana na upepo mkali hali iliyo pelekea kufanya mauaji ya zaidi ya watu 38nawengine 60 walio jelehiwa vibaya wamelazwa katika hospitali ya wilaya ya Kahama.

0 comments:
Post a Comment