MFUMODUME HUNYANYASA WANAWAKE NA KUWEPO KWA NDOA ZA UTOTONI.
Waandishi wa habari wakiwa katika semina wilayani Kahama mkoani Shinyanga iliyoandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la care International Tanzania. |
Mwandishi wa habari wa magazeti ya mwananchi na the citizen wilayani Kahama Shija Felician. |
Mwandishi wa habari wa magazeti ya habarileo na dailynews wilayani Kahama Raymond Mihayo. |
Mwezeshaji David Magige kutoka shirika hilo wilayani Kahama. |
Waandishi wa habari wakiwa katika makundi kwa vitendo. |
Waandishi wa habari wakisikiliza vikundi vilivyokuwa vikiwakilisha. |
Mtangazaji wa redio Faraja Nunu Abdul na akiwa na meneja wa redio Kahama,marco Mipawa wakiwa nje ya ukumbi waGorden Valle nje kidogo ya mji wa Kahama |
Mwandishi wa habari kutoka redio Kahama Bakari Khalid akiwasilisha mada ya maswali kutoka kwenye kundi lake. |
0 comments:
Post a Comment