Rais Jakaya Kikwete leo amewaongoza viongozi wa serikali, viongozi wa
kisiasa na mamia ya watanzania waliojitokeza kuuzika mwili wa aliyekuwa
mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni John Komba Kijijini Lituhi Leo
Askofu
wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimbo akiongoza ibada
ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni
John Damiano...
BURIANI KAPEN KOMBA MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI AMEN
Rais Kikwete Aongoza Mamia Ya Wananchi Kumzika Mbunge John Komba Kijijini Lituhi Leo
Vikongwe Watatu Akiwemo Mganga wa Kienyeji Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Wauawa Kwa Tuhuma za Kuzuia Mvua Isinyeshe Wilayani humo
Watu watatu wameuawa Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti yanayohusisha imani za kishirikina.
Akizungumzia
matukio Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi
wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema tukio la kwanza limetokea tarehe
01/03/2015 majira ya saa 01:00hrs katika kitongoji cha Golani, kijiji
cha Masinyeti, kata ya Iduo, tarafa ya Mlali Wilaya...
Unalichukuliaje Swala la CHADEMA Kuwa na 'Jeshi' Lake la Kujihami?? Tupe Maoni Yako
Hii
picha ni 'Jeshi' la chama cha CHADEMA maarufu kama RED BRIGADE huko
Mwanza wakati wakila kiapo cha utii mbele ya Mwenyekiti wa chama hicho
Freeman Mbowe siku ya jumamosi.
Nini maoni yako juu ya 'majeshi' haya ya vyama?
#qp_main255652 .qp_btna:hover input {background:
rgb(183,222,237)!important;background: -moz-linear-gradient(top,
rgba(183,222,237,1) 0%, rgba(113,206,239,1) 50%,...
Ridhiwani : Kikwete hana ugomvi na Lowassa.......Wanaosema Uhusiano wa mzee (Rais Kikwete) na Lowassa ni mbaya ni Waongo
MTOTO wa Rais Jakaya Kikwete, Ridhiwan Kikwete, amesema mzee wake
(Kikwete) hana ugomvi wala uhusiano mbaya na aliyekuwa Waziri Mkuu,
Edward Lowassa; na kwamba kama kungekuwa na ugomvi, basi yeye angekuwa
anajua hilo.
Ridhiwan alitoa kauli hiyo jana wakati akihojiwa na Televisheni ya Star
TV kupitia kipindi chake cha Changamoto za Kisiasa kwa Watoto wa
Viongozi. “Wanaosema uhusiano...
Mamia ya Wananchi Wamuaga Marehemu John Komba huko Songea
Mamia ya wananchi wa Manispaa ya Songea mkoani
Ruvuma, jana walijitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la
Mbinga-Magharibi, Kapteni John Komba ambao uliwasili majira ya saa 10.25
katika Uwanja wa Ndege wa Ruhuwiko, mjini hapa.
Baada ya mwili huo
kuwasili kwa ndege ya kukodi mkoani hapa, ulipokelewa na viongozi
mbalimbali wa vyama vya siasa na serikali akiwemo Mkuu wa...
Meet Nyambura: A Professional LADY By Day but a MALAYA at Night
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
A well endowed lady named, Wilfreda Nyambura, has been exposed by her
colleagues as a professional lady by day but when darkness sets in, she
starts selling her flesh to rich men.
Apparently, she has been in the business for the last five years and
this has enabled her buy a house in South B and two flashy guzzlers.
On a good...
Ina Uma Sana: Marehemu John Komba Asimangwa Mitandaoni, Familia Yalalamika
MTOTO wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM), John Komba,
amelalamikia baadhi ya wananchi wanaosambaza kashfa za baba yake.
Anaripoti Sarafina Lindwino…
Gerald Komba, mtoto wa tatu wa hayati John Damian Komba amesema,
mitandao mingi ya kijamii kumejaa “nukuu chafu za baba yake.”
Nukuu hizo, ni zile mbazo alizitoa wakati wa uhai wake.
“Ninawaomba Watanzania wenzagu kuacha kusambaza...
Wimbo wa John Komba Wamliza Rais Kikwete
Wimbo wa John Komba aliouimba katika msiba wa Baba wa Taifa
Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1999, jana uliibua majonzi na kusababisha
viongozi mbalimbali, akiwamo Rais Jakaya Kikwete, kutoa machozi
ulipoimbwa kumuaga mbunge huyo.
Wimbo huo
uliobadilishwa maneno yanayohusu Mwalimu Nyerere na kuingizwa
yanayomtaja mbunge huyo wa Mbinga Magharibi, mbali na Rais Kikwete
ulimliza pia Rais...
Rais Kikwete Atangaza Hali ya Hatari Kwa Watu Wanaoua Albino....Aagiza Wasakwe Kila Kona ,akubali kukutana na Viongozi wa Albino Wiki Ijayo
Rais Jakaya Kikwete amezungumzia hali ya usalama wa nchi, ikiwemo
uvamizi wa vituo vya Polisi, uporaji wa silaha ulioambatana na vifo vya
askari na kusema matukio hayo, baadhi yake yana dalili za ugaidi.
Akizungumzia hali ya usalama nchini jana katika hotuba yake ya mwisho wa
Februari, Rais Kikwete pia amekuja juu kuhusu mauaji kwa watu wenye
albinism na kusema vitendo hivyo...
Mume na Mke Wafikishwa Kortini kwa Kumwozesha Binti wa Miaka 10......Mahakama Yafunga Dhamana Hadi Kesi Itakapokamilika
Mke na Mume wanaotuhumiwa kumuoza binti wa miaka 10 jana walifikishwa
katika Mahakama ya Wilaya ya Dodoma Mjini huku Mahakama ikifunga dhamana
yao hadi kesi hiyo itakapomalizika.
Washtakiwa hao wanakabiliwa na shtaka la kumuozesha mtoto mwenye umri wa
miaka 10 ambaye ni binti yao kwa mahari ya Sh 100,000 na mbuzi 12.
Mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya Dodoma Mjini , Mwajuma...
TANESCO Yakiri MADUDU Katika Mfumo wa LUKU
Shirika la Ugavi na Usambazaji wa Umeme nchini (TANESCO), limekiri
kuwepo na matatizo ya mfumo wa kununua Luku, ulioanza Ijumaa jioni wiki
iliyopita hadi jana na kuwa matatizo hayo yanatokana na mfumo wa kuuza
umeme wa Luku.
Akizungumza na mwandishi jijini Dar es Salaam jana, Meneja Mawasiliano
wa Tanesco, Adrian Shogholo alisema ni kweli kuwa tatizo hilo lipo na
limetokana na mfumo...
Upelelezi Kesi ya Lwakatare wa CHADEMA na Mwenzake bado Kukamilika.....Kesi yao Yaahirishwa hadi April Mosi
Upelelezi wa kesi ya kula njama ya kudhuru kwa sumu, inayomkabili
Mkurugenzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilfred
Lwakatare na mwenzake bado haujakamilika.
Wakili wa Serikali Genes Tesha alidai hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi wa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Janeth Kaluyenda wakati kesi hiyo
ilipotajwa jana.
Hakimu Kaluyenda aliahirisha kesi hiyo hadi Aprili...
0 comments:
Post a Comment