VIONGOZI WA BARRICK WAWAPONGEZA WASICHANA 15 WALIOFAULU MTIHANI WA KIDATO CHA SITA KAHAMA
Hawa ni wasichana waliobaki wanosoma kidato cha sita katika shule ya mwendakulima ambao pia wameahidi kijibidisha na masomo kwa kuwa wenzao walishafungua milango
Mkuu wa kitengo cha Sheria wa kampuni ya African Barrick Gold akiwa sambamba na Meneja mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi, Filbert Rweyemamu ambaye pia ndiyo mwongozaji mkuu katika pongezi hizo
Rweyemamu akiwaasa wanafunzi hao wazidi kufanya vizuri na kuwaeleza kuwa yupo nao begakwa bega ili kuhakikisha shule za sekondari za kata zinaheshimika
Mkuu waShule,Diana Kuboja akitoa nasaha zake kwa furaha kubwa ambapo alisema Shule ya sekondari ya kata mwendakulima inadhaminiwa na mgodi huo chini ya mradi wa ''EDUCATE'
Hawa ni Baadhi ya wanafunzi waliofaulu daraja la kwanza katika shule ya Sekondari Mwendakulima
Wakiwa wamesimama kwa heshima kwaajili ya uongozi wa Mgodi huo wakati wanaingia ukumbini
Mkuu wa kitengo cha Sheria kizungumza kwa furaha kutokana na ufauru mzuri wa wasichana wa kidato cha sita katika shule hiyo
Afisa mahusiano wa Mgodi wa buzwagi,Blandina Munghezi akiandika yanayozungumzwa wakati huo akiwa na maafisa wenzake wa mgodi huo pamoja na mwandishi wa Habari Mohab Dominick mwenye kamera shingoni
Wahitimu wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Barrik buzwagi pamoja na mkuu wao wa shule Diana kuboja sambamba na mkuu wa kitengo cha Sheria bi.Katrina White
Mkuu wa shule hiyo bi.Diana Kuboja akiwa na furaha za matokeo hayo mazuri
Wakifurahi
White akijiandaa kutoa vyeti kama ishara ya mahusiano baina ya mgodi na Shule hiyo
Mmoja wa wawasichana waliofauru vizuri akipongezwa kwa cheti hicho kutoka Buzwagi
Whwite akimkabidhi cheti mhitimu aliyefauru mtihani wa kidato cha sita
0 comments:
Post a Comment