BARAZA LA MADIWANI WAHALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA LA KAA
MWOSHI mzito wa jalala lililopo pembeni ya Hospitali ya Wilaya ya Kahama waingia kwa wagonjwa waliolazwa katika wodi za BIMA ambapo mato huo umewashwa na watu wasiojulikanaDIWANI wa kata ya Kahama mjini (CHADEMA) Abas Omari Babu akitoa hoja yake katika kuchangia mada mbalimbali katika kikao cha Baraza la madiwani klichofanyika juzi na jana katika ukumbi wa Halmashauri ya mji huo.
MWENYEKITI wa kamati na ulinzi wilayani Kahama Benson Mpesya ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya hiyo katika kikao hicho cha Baraza la Madiwani, amewataka waheshimiwa Madiwani kuzingatia maazimio ya serikali katika kuhimiza shughuli za maendeleo ya mji huo pamaja na amewakumbusha kurea nayale waliyokwenda Moshi kujifunza kuhusu usafi wa Mazingira ili madiwani hao waweze kuubadilisha mji wa kahama.
MWOSHI ulipozidi kutanda kuelekea katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama huku ukitokea katika Dampo lililopo pembeni ya Hospitali hiyo ambapo yanatengenezewa Majeneza.
Mtazamaji huo ni moto katika kipindi ndipo unaanza kuwaka ambapo kivumbi kinaendelea. TAFADHALI ENDELEA KUFUATILIA BLOG HII KWA TAARIFA MBALIMBALI NA MATUKIO
0 comments:
Post a Comment