MAMA Omy wakisherehekea BIRTHDAY kumpongeza UVE akitimiza miaka mitatu
BAADHI ya wananchi wakiwa katika sherehea BIRTHDAY ya mtoto wa Herman Emmanuel ya kutimiza miaka minne
ALIYEVAA SUTI NYEUSI UVE HELMAN AKISHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA AMBAPO ANATIMIZA MIAKA MINNE
WAKWANZA kushoto ni baba wa mtoto analiyetimiza miaka 4 Helemani Emmanuel wapili kulia ni mama wa mtoto bi. Salah Elias akiwa sambamba na rafiki yake kipenzi aliyejulikana kwa jina la mama Abella
WANAOONEKANA hapo mbele ni baadhi ya ndugu wa liohudhulia sherehe hiyo ambapo wanatoka Segese .
WAFANYAKAZI wa viwanda vya mbao wilayani Kahama wakimuunga mkono katika sherehe hiyo mfanyakazi mwenzao ambaye ni baba wa mtoto huyo.
UMATI wa wanawake kat.ika nzengo wanayoishi nayo katika jamii wakimpongeza mama wa mtoto na doti ya khanga
UMATI wa watu katika sherehe hiyo iliyofanyikia nyumbani kwao majengo Sokola
UMATI HUO UKIPAT A CHAKULA CHA PAMOJA KATIKA SHEREHE HIYO.
M4C YATINGA KAHAMA YATEMBELEA MASHINE ZA MPUNGA WILAYANI HUMO.
WAPANGAJI wa Helemani wakiongozana kwenda kumpongeza mtoto wa mwenyenyumba yao.
M4C tishio Kahama
MAADILI ya mziki wa nyimbo za Asili zaporomokakutokana na hali wanayofanya waliyonayo hawa mnaowaona hayaendani na utamaduni wa MTANZANIA hapa nchini
AFADHALI yao hawa wanonekana wanajali uzalendo wa MTANZANIA mala mia.
HALI NDIYO KAMA HIYO MSHIRIKA KUUENZI UTAMADUNI WA INDIA NI AFADHALI KULIKO HAYA TUYAONAYO KWAMBA NIKIBIASHARA ZAIDI AMBAPO TUENDAKO HAKUNA MAFUNDISHO WALA FAIDA YA HALI KAMA HIYO, NDIYO MITINDO YA SHEREHE ZA TANZANIA.
0 comments:
Post a Comment