PICHA ZA MATUKIO YA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA KWENDA KUSHIRIKI ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA KATIKA SERIKALI ZA MITAA
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WASHINYANGA KHAMIS MGEJA AKIWA AMESIMAMA ANA KUWASHANGAA WAKAZI WA KATA HIYO KUTOFIKA KITUONI HAPO KUJIANDIKISHAMGEJA AKIJIANDAA KUJIANDIKISHA
MWADIKISHAJI KATIKA ZOEZI HILO LUCAS MPINE AKIMWELEKEZA MZEE MMOJA ALIYEONGOZANA NA MGEJA JINSI YA KUJIANDIKISHASHEKHE USTADHI SADICK BURUKHAN MWENYE KOTI JEUSI AKIMTIZAMA MWANDIKISHAJI HUYO KATIKA KITU OHICHO
MGEJA AKITAKA KWANZA KUELEKEZWA KABLA HAJAANDIKA LOLOTE KATIKA DAFTARI HILO
MGEJA AKIJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI HILO
MGEJA AKIPEANA MKONO NA MWANDIKISHAJI HUYO MARA BAADA YA KUJIANDIKISHA KATIKA ZOEZI HILO
0 comments:
Post a Comment