KUNA HAJA SELIKALI KUINGILIA KATI SUALA LA WATU WANAOEGESHA GALI PEMBENI YA BARABARA
MABASI YA KIWAWA KATIKA FOLENI KALI MJINI KAHAMA KUTOKANA NA PWATU KUPAKI PEMBENI YA BARABARAHAPA NI MAKUTANO YA NJIA PANDA MAENEO YA CRDB BANK MJINI KAHAMA
HILI NI BASI LA BEDUI LINALOFANYA SAFARI ZAKE KUELEKEA VIJIJI VYA BULUNGWA KATIKA HALMASHAURI YA USHETIU
SERIKALI Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga kunahaja ya kuingilia kati kudhibiti baadhi ya watu wanaoegesha Gari zao pembezoni mwa barabara ili kupunguza msongamano wa Magari yanayopita katika makutano ya barabara.
Hali hiyo ilibainishwa na jana na Blog hii baada ya mabasi kukwama kupita katika makutano ya Barabara hiyo iliyopo maeneo ya CRDB mjini Kahama ambapo Mabasi hayo yalishindwa kupishana na magari yaliyokuwa mbele yao kutokana na ufinyu wa barabara.
Baadhi ya mashuhuda waliokuwepo katika eneo hilo wameiomba serikali kuingilia katio hali hiyo ya ya watu kupaki ovyo gari zao pengine wale wa magari ya kifahali ambao huyaacha hata barabarani kwa makusudi mazima kwa kiburi cha fedha zao.
''Jeshi la Polisilsi kupitia kitengo cha usalama barabarani ni bora wakafanya doria za mara kwa mara ili kuwabaini hao wenye viburi ikibidi wawajibishwe kwa kupigwa faini bila kujali huyo ni nani'',alisema bwa Mussa Mligwa aliyekuwa na mpita njia.
0 comments:
Post a Comment