WANANCHI WASHANGAZWA NA KITENDO KUTOMCHUKULIA ASKALI WA USALAMA BARABARANI
Gari hiyo aina ya toyota special mali ya Askali huyo imeingia katika mtaro uliopo CCM katika kweye makutano ya Barabara itokayo CRDB na Isaka Roadambapo Askari wa usalama barabarani walifika eneo la Tukio na baada ya kubaini kuwa niyamwenzao hawakuchukua hatua yeyote.
Kutokana na hali hiyo wananchi pamoja na' madereva Bodaboda kuishangaa haliyo ambapo wamesema kuwa wangekuwa ni madereva bodaboda au madereva wengine wangewachukulia hatua.
0 comments:
Post a Comment