Thursday, November 21, 2013

Thursday, November 21, 2013

Mmmhh!!! Sista akifurahia mkutano wa chama cha mapinduzi (ccm)...mcheki hapa

Sista Maria Lumbangura wa Mtakatifu Benedict akigalagala chini akiwa na mwanamke mwenzake wakati Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulharaman Kinana
akiwahutubia wakazi wa Kijiji cha Kisangu wilayani Songgea katika mkutano wa hadhara uliofanyika, jana.

0 comments:

Post a Comment

My Blogger Tricks
blogger

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2014 KAYANDA All Right Reserved
Designed by MALUNDE.