WANAFUNZI wa shule za msingi Kilima A na Kilima B wakiwa katika picha ya pamoja wakati wakipokea msaada wa jozi 141 za viatu kutoka chama cha msalaba mwekundu Wilayani Kahama
BAADHI ya jozi za viatu zkionekana pichani ambazo wamegawiwa shule zote mbili na chama cha msalaba mwekundu cha wilayani humo
MWENYEKITI wa chama cha msalaba Mwekundu Redclos wilayani Kahama Robert Kayoka akiwahutubia akiwahutubia wanafunzi wa shule za msingi Kilima A na B wakati akiwakabidhi jozi hizo ambapo aliwataka kuwa desturi ya kuvaa viatu hivyo na siyo kuvitunza sandukuni na kusubili sikukuu .
VIONGOZI wa Redclos wakiwa sambamba na viongozi wa kata ya Nyihogo pamoja na viongozi wa shule hiyo.
DIWANI wa kata ya Nyihogo AMOSI SIPEMBA akiushukuru uongozi wa chama cha msalaba mwekundu wilayani humo kuliona tatizo la watoto waishio katika mazingira magumu mashuleni huku akiwasisitiza wazazi na walezi wa watoto hao waendelee kuandikisha majia ya watoto wengine
VIONGOZI WA MGODI WA AFRICAN GOLD MINE WKIWA KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA KATA TATU ZINAZOZUNGUKA MGODI HUO HIVI KARIBUNI
AFISA HABARI WA MGODI HUO MARY LUBAMBA AKIWA ANASETI KAMERA YAKE
WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MASHULENI WA SHULE YA MSINGI ILIMA' B' WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZAZI NA WALEZI WAO
SHULE YA MSINGI KILIMA B INAYOONEKANA KATIKA PICHA HIYO.
0 comments:
Post a Comment