Home
Unlabelled
MWANAMKE KAHAMA ASHIKILIWA KWA KUWATUMIKISHA WATOTO KINYUME CHA SHERIA
MWANAMKE KAHAMA ASHIKILIWA KWA KUWATUMIKISHA WATOTO KINYUME CHA SHERIA
MTUHUMIWA chiristina andrew mkazi wa nyakato mjini kahama akiwa na mafisa wa uhamiaji kwa mahojiano zaidi juu ya kuwatesa watoto wawili na moja ni raia wa nchini burundi na mwingine ni mkazi wa kibondo mkoani kigoma huku akiwa amefumba machoyake asioneshi uso wake kwenye kamera .
YASITA Zakaria 13 akionyesha uso wake ulivyounguazwa kwa maji ya moto na christina andrew kwa kosa la kuchelewa kupika chakula na kuongeza chakula wakati wa kula jioni na kulishwa nyama mbichi kwa maelezo ya yasita amepata mateso makubwa sana.
YASITA zakaria 13 mkazi wa mchange nchi burundi akionyeaha majeraha kwenye mgongo wake alivyochumwa na maji ya moto na chirstina andrew32 ni mkazi wa nyakato mjini kahama ambapo ameungua zaidi mwili wake kwa amelezo ya yassita maji hayo yalichemushwa kwenye ente ya maji ya umeme na kisha alimungia mwili wote.
AVELINE alobogasti 16 mkazi wa kibondo mkoani kigoma ambaye alikuwa akinya kazi kwa christina andrew nyumbani kwake akionyesha harama za kuchapwa kwa wanya wa umeme na kulishwa nyama bichi na kuchapwa kwa wanya kama jinsi alinaonyesha harama kwenye mkono wake wa afisa wa uhamia ji mjini kahama
CHRISTINA Andrew 32 mkazi wa nyakato mjini kahama ambaye anashikiriwa na idara ya uhamiaji kwa kosa la kuajili raia burundi na kuwatesa watoto wawili kwa kuwachoma na maji ya moto mjini kahama
MWANAMKE KAHAMA ASHIKILIWA KWA KUWATUMIKISHA WATOTO KINYUME CHA SHERIA.
KAHAMA
Idara ya uhamiaji wilayani Kahama mkoani Shinyanga inamshikilia Christina Andrew(32)mkazi wa Nyakato mjini Kahama kwa kosa la kuwaajiri na kuwatumikisha kikatili watoto Aveline Alobogasti(16) na Yasinta Zacharia(13) kinyume cha sheria za nchi.
Akizungumza na waandishi wa Habari ofisini kwake Afisa Uhamiaji wilayani humo Zacharia Misana alisema mtuhumiwa huyo ameshikiliwa baada ya kubainika kumwajiri Yasinta Zacharia mwenyeji wa Mchange nchini Burundi kitendo ambacho ni kinyume cha sheria za nchi kumwajiri mtu ambaye si raia wa Tanzania.
0 comments:
Post a Comment