Na Paul Kayanda, Kahama
September,30,201
SAKATA LA TINDIKALI LAINGIA KAHAMA LATIA HOFU KUBWA KWA WAKAZI WA MJI HUO
HAYO yamebainika leo wakati mshitakiwa Ahmed Isumail raia wa Burundi ambaye ni mfanyabiashara wa kutoa mikopo kwa riba mjini Kahama akisomewa shauri la mashtaka mbele ya Hakimu wa mahakama ya mwanzo; HS BYALUGABA yanayo mkabili kutishia kummwagia TINDIKALI pamoja nakumtishia pia kumwua kwa siraha kali kwa aliyekuwa Askari wa Kahama HASSAN MAZIGE Au FOMA
Kwa hali hiyo mahakama ya mwanzo mjini Kahama mkoani Shinyanga imeahilisha kesi hiyo hadi tarehe 8 october,2013 mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment