WAZIRI mkuu mtaafu EDWRD ROWASSA akiwahutubia waumini wa kanisa la AICT wakati wa halambee ya kuchangia ujenzi wa shule aliyoingoza yeye mwenyewe abapo amekili kuona mji wa Kahama ukikua kwa kasi nakuongeza kuwa lakini wananchi wako tofauti na mji huo kutokana na wananchi wenyewe kutozingatia swala la elimu.
MKURUGEZI wa shule Kwema pamoja nasekondari ya Kwema akipongezwa na ROWASSA kwa kutoa mchango katika harambee hiyo.
MICHAEL NKANJWA ambaye ni mwenyekiti wa shilikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania {SHIVYAWATA} akitoa mashaili yake mbele ya mgeni lasmi katika harambee hiyo.MWENYEKITI wa CCM mkoa wa Shinyanga mweye maiki wakiwa jukwaani kuendesha harambee huku akimsindikiza ROWASSA.
ROWASSA akifurahia picha aliyochorwa na mchoraji kutoka kahama mjini bw. DOMINIC wa Kahama mjini.
MCHORAJI aliyemchora ROWASSA akipewa pongezi za uchoraji hodari.
MKURUGENZI wa mji wa KAHAMA ; FELIX KIMARYO kuhudhulia harambee hiyo.
SOKO LA vumilia jirani na ofisi za CHADEMA likionekana kuwa tayari lakini cha ajabu wafanyabiashara hawakabidhiwi soko hilo.
0 comments:
Post a Comment