Friday, October 4, 2013

 MENEJA  wa Mgodi wa  African Barrick Goldmine ltd; PETTER GELETA  akiwa katika  kikao cha viongozi wa kata tatu  zinazozunguka mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu uliohusisha  madiwani maafisa watendaji wa kata pamoja na maafisa maendeleo ya kata hizo.
           DIWANI wa kata ya Bugarama  bw.  Ng'oko  akinakili maneno yanayoongelewa katika kikao hicho


 UONGOZI wa mgodi na viongozi wa  kata hizo tajwa  wakisikiliza  ujumbe wa muhimu kutoka kwa meneja huyo.





 MRATIBU  wa idara ya Rasilimali watu wa  mgodi  huo ; Antony Mosha akitoa ufafanuzi juu ya shughuli zakijamii kilichojumuisha  viongozi  wa kata zinazozunguka  mgodi huo katia kikao hicho cha mrejesho wa  shughuli za maendeleo ya kiamii.

 HAWA ni viongozi w a kata  hizo za Bulyanhulu w akiwa katika  kiao cha mrejesho wa shughuli za kijamii.                






 Diwani wa  kata ya Bulyanhulu  Joseph Makoba akiushukuru  uongozi wa mgodi huo kwa kuijali jamii hiyo.
















 MWEYEKITI wa VIWAKAMAHAz



ZAIDI ya wanafunzi 142 katika kata tatu zinazozunguka mgodi wa dhahabu wa Bulwanhulu  unaomilikiwa na kampuni ya  Afrikani Barrick Gold Wamesomeshwa na mgodi huo .

My Blogger Tricks
blogger

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2014 KAYANDA All Right Reserved
Designed by MALUNDE.