MENEJA wa Mgodi wa African Barrick Goldmine ltd; PETTER GELETA akiwa katika kikao cha viongozi wa kata tatu zinazozunguka mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu uliohusisha madiwani maafisa watendaji wa kata pamoja na maafisa maendeleo ya kata hizo.
DIWANI wa kata ya Bugarama bw. Ng'oko akinakili maneno yanayoongelewa katika kikao hicho
UONGOZI wa mgodi na viongozi wa kata hizo tajwa wakisikiliza ujumbe wa muhimu kutoka kwa meneja huyo.
MRATIBU wa idara ya Rasilimali watu wa mgodi huo ; Antony Mosha akitoa ufafanuzi juu ya shughuli zakijamii kilichojumuisha viongozi wa kata zinazozunguka mgodi huo katia kikao hicho cha mrejesho wa shughuli za maendeleo ya kiamii.
HAWA ni viongozi w a kata hizo za Bulyanhulu w akiwa katika kiao cha mrejesho wa shughuli za kijamii.
Diwani wa kata ya Bulyanhulu Joseph Makoba akiushukuru uongozi wa mgodi huo kwa kuijali jamii hiyo.
MWEYEKITI wa VIWAKAMAHAz
ZAIDI ya wanafunzi 142 katika kata tatu zinazozunguka mgodi wa dhahabu wa Bulwanhulu unaomilikiwa na kampuni ya Afrikani Barrick Gold Wamesomeshwa na mgodi huo .
0 comments:
Post a Comment