PIUS MWINAMILA AKIMUWEKEA NYOKA MKUBWA SHINONI MMOJA WA WAHCEZASHOO WAKE.
BAADHI YA MASHUHUDA WAKISHUHUDIA MICHEZO MBALIMBALI KATIKA MAADHIMISHO HAYO KATIKA VIWANJA VYA MASABO MJINI KAHAMA
WANANCHI WAKIWA KATIKA VIWANJA VYA MASABO WAKISHUDIA NYOKA KATIKA MAADHIMISHO YANYERERE DAY.
KIRERE cha maadhimisho ya kumbukumbu ya kumuenzi baba wa Taifa Hili la tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere huazimishwa kila mwaka ambapo kitaifa limefanika IRINGA ambako Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Docta JAKAYA MRISHO KIKWETE aliungana na viongozi wa Serikali ya mapinduzi zanzibali pamoja na viongozi wengine wa tanzania akiwemo mbunge wa IRINGA mchungaji PETER MSIGWA ambapo ndiyo kilele cha mbio za Mwenge wa uhuru.
Ukirudi Nkoani Shinanga katika maadimisho hayohayo yamefanyika katika wilaya ya Kahama mkoani humo ambapo wasanii wa nyimbo za Asiri za kisukuma wametumbuiza katika viwanja vya masabo uliopo Kahama wasanii wliotumbuiza ni pamojanana mjukuu wa mwinamila Pius Charles Gimu(MWEBEHA NHOBOKO) aliyerithi kutoka kwa babu yake msanii huyo ni anayecheza na nyoka pichani ambapo pia aling'atwa na nyoka wake.
0 comments:
Post a Comment